Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya hadithi za Biblia na nyimbo nzuri katika Kipangwa!
Umeshawahi kusikia hadithi ya mwanamke mmoja aliyeacha nchi yake na kwenda ugenini. Mwishoni akawa bibi wa mfalme Daudi?
Au umeshawahi kusikia hadithi ya Yona kumezwa na samaki?
Furahia kusikiliza!
Unaweza kuwasiliana nasi kwa kutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huhitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.